Bidhaa Zetu

Mabati ya rangi original, migongo, vigae na vifaa vya kufunga paa — vipimo na bei zimewekwa wazi. Bonyeza "Chat with us" chini ya bidhaa yoyote kupata bei ya sasa na kuagiza.

Bei zinaweza kubadilika — wasiliana nasi kupata bei ya sasa.
Vipimo Maalum

Hatuna Bidhaa Unayoitaka? Tunaweza Kukukatia Vipimo Maalum

Kwa bidhaa zenye alama ya "special metres", tunaweza kukata urefu unaoufaa mradi wako, hivyo kupunguza upotevu wa nyenzo na gharama zisizo za lazima. Tuma ujumbe WhatsApp ukiwa na vipimo vyako tukushaurie.

Omba Vipimo Maalum
UREFU UNAOCHAGUA WEWE

Una Maswali Kuhusu Bidhaa?

Tutumie ujumbe WhatsApp tukushauri bidhaa sahihi kwa mradi wako.

Chat WhatsApp