Mabati ya rangi original, migongo, vigae na vifaa vya kufunga paa — vipimo na bei zimewekwa wazi. Bonyeza "Chat with us" chini ya bidhaa yoyote kupata bei ya sasa na kuagiza.
Kwa bidhaa zenye alama ya "special metres", tunaweza kukata urefu unaoufaa mradi wako, hivyo kupunguza upotevu wa nyenzo na gharama zisizo za lazima. Tuma ujumbe WhatsApp ukiwa na vipimo vyako tukushaurie.
Omba Vipimo Maalum